Idadi ya Chini ya Oda
MOQ ni katoni 1 kwa kila model. Unaweza kuchanganya model tofauti.
Njia za Malipo
Tunapokea TZS na USD. Malipo yanaweza kufanyika kupitia wakala wako Dar es Salaam, mobile money au benki.
Usafirishaji
Usafirishaji bure kwenye stand yoyote ndani ya Dar es Salaam. Usafirishaji wa nje unapangwa na wakala wako au sisi.
Punguzo la Wingi
Oda za kontena nzima zinapata punguzo la ziada. Tutumie orodha yako kwa WhatsApp.
Unahitaji bei ya kontena kamili?
Tutumie orodha ya model kwa WhatsApp — tunajibu ndani ya saa 1 wakati wa kazi.